Wednesday, July 16, 2014

Maoni ya Wananchi kurejea tena Bunge la katiba Mwezi Agosti

Mwezi Agosti ni mwezi unaotazamwa na kila jicho la Mtanzania kama Mwezi wa Mwanzo mpya wa Upatikanaji wa Katiba Mpya Ya Tanzania. Je Wananchi wana mtazamo gani? Sikiliza Makala Hii.

No comments:

Post a Comment